Kijana
ambaye hakuweza kufahamika jina lake mapema, akiugulia maumivu baada ya
kupokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira kwa kile walichomtuhumu
kuiba simu katika moja ya duka lililopoa maeneo ya Makumbusho karibu na
Kituo cha Daladala, jijini Dar es Salaam.
Wakielezea
tukio hilo mashuhuda walisema kuwa kijana huyo aliingia katika duka
hilo lililokuwa na mwanadada na kupora simu iliyokuwa juu ya kabati la
bidhaa na kutimka nayo jambo lililomfanya mwanadada huyo kutoka nje na
kuanza kupiga kelele za kuomba msaada.
Kama
ilivyo kawaida kijana huyo aliungaishiwa na kila mtu aliyemuana akitimka
na kufanikiwa kumtia nguvuni na kuanza kula kichapo hadi aliporejesha
simu ya mdada huyo. Baadaye aliachiwa huru na kuondoka zake.
Kjana huyo akijibu maswali baada ya kichapo.PICHA ZAIDI>>>
EmoticonEmoticon