WAZIRI WA ZAMANI DR WILLIAM SHIJA AFARIKI DUNIA. Anonymous 22:51 Anonymous Tanzia: Dr. William Shija, Waziri wa zamani wa Tanzania na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wabunge wa Jumuiya ya Madola amefariki dunia Leo London. Pia ndite aliyekuwa mbunge wa sengerema kabla ya William Ngereja. RIP Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest Artikel Menarik Lainnya
EmoticonEmoticon