PICHA MKUTANO WA CHADEMA ULIOFANYIKA JANA



Gari ya mwenyekiti wa CHADEMA mh MBOWE ilipokuwa ikiwasili katika ukumbi wa mkutano mkuu wa chama hicho ambao umefanyika mlimani city




Shekh Rajab Katimba mwenyekiti wa jumuiya ya taasisi za kiislam Tanzania akiwa katika mkutano huo


MH MANGULA makamu mwenyekiti wa CCM ambaye alimwakilisha mwenyekiti wa ccm MH JAKAYA MRISHO KIKWETE katika mkutano huo.


Wawakilishi wa taifa la china wakiwa katika mkutano huo

Dua











Muasisi wa CHADEMA mzee EDWIN MTEI alikuwepo katika mkutano huo




Wawakilishi wa mataifa mbalimbali kamaUINGEREZA

Mke wa katibu mkuu wa chadema pamoja na mke wa mwanasheria mkuu wa CHADEMA TUNDU LISU.Na Habari24
Previous
Next Post »