MBEYA YOUTH EVENT 2014, hili ni tukio lililounganisha vijana wa jiji la mbeya katika kupanda MLIMA LOLEZA siku ya tarehe 6/9/2014, hiii ni sehemu ya kwanza ya matukio katika tukio hili ambalo lilihusisha vijana kutoka ndani ya Mbeya na nje ya Mbeya, Tukio hili ambalo lilisimamiwa na kuasisiwa na kikundi cha MLIMANI YOUTH GROUP ambapo kwa sasa tukio hili litakuwa likitambuliwa kama MBEYA YOUTH EVENT ambapo kila mwaka litakuwa likiadhimishwa katika jiji la Mbeya kama mwaka huu linavyotambuliwa kwa jina la MBEYA YOUTH EVENT 2014
MBEYA YOUTH EVENT 2014,

EmoticonEmoticon