SASA NA HIVI VIFUSI STAND YA UBUNGO INAKUWAJE MHHH

Watumiaji wa kituo cha mabasi ya mikoani na nchi jirani cha Ubungo jijini Dar es salaam wakiwemo madereva, abiria, na wakatisha teketi wameshangazwa na kitendo cha kituo hicho kwa sasa kugeuzwa sehemu ya kuhifadhi vifusi vya udongo jambo ambalo limewashangaza kwa nini zoezi hilo linaendelea kutokana na vifusi hivyo kutokutumika ndani ya kituo hicho.
Previous
Next Post »