Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akigonganisha glasi na mjukuu wake Nicole katika mkusanyiko mdogo na mfupi sana wa kifamilia wa kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake kwenye makazi yake kwenye hoteli ya Stella Maris mjini `Dodoma August 12, 2014. Wengine pichani ni binti zake, Namsi (kulia) na Yusta.
EmoticonEmoticon