Mtoto wa kike wa rais wa Marekani, Maria Obama mwenye umri wa miaka 16 alimgonga kwa bahati mbaya msichana aliyefahamika kwa jina la Bridget Truskey walipokuwa katika tamasha kubwa la muziki la Lollapalooza nchini Marekani.
Msichana huyo amewashangaza watu baada ya kuonesha kufurahishwa sana na tukio hilo kutokana na umaarufu wa Malia Obama.
Truskey ametweet sentensi kadhaa kuonesha furaha yake huku maelezo yakionesha kuwa haamini kilichotokea.
“I got (accidentally) kicked by Malia Obama today at Lollapalooza. No lie. Malia. Obama. It was awesome. #lollapalooza.”
EmoticonEmoticon