URITHI WA MTOTO WAKO NI ELIMU

Saimeni na matukio Mgalula's profile photo


Na Saimeni  Mgalula
Natumaini utakuwa mzima wa afya njema kabisa ndungu msomaji wa safu
hii ya usomaji wa makala mbalimbali katika mitandao mbalimbali ya
kijamii kwa upande wangu namshukuru mungu kwa kunipauzima leo hii na
kunipa uwezo wa kuwaletea makalahii “ URITHI WA MTOTO NI ELIMU”hii ni
makala ambayo inazungumzia wale vijana ambao wanataka mali za urithi
bila ya kujishughulisha na kazi ili watafute mali zakwao.
Uweli ni huu hapa kwa vijana wale ambao wanapenda  mali za urithi kitu
ambacho haujui Yule mmiliki wa hile mali aliipataje?Mtaji wa maskini
ni nguvu zake mwenyewe na linalowezekana lisingoje kesho kwani maisha
sio ya kuyasubiria .
Vilevile napenda kukwambia wewe ambaye unasoma hii makala jua kwamba
maisha yana misemo mingi sana na tenzi kali kitu ambacho hakina majibu
mengi jibu ni moja tuu mafanikio lakini maswali ni mengi sana na ili
uwe na maisha safi inakubidi ujishughulishe kwa hali yeyote ile
ilikuepukana na kutamani mali za urithi.
Pamoja na hilo kumekuwa na Hadithi nyingi sana mtaani hasa Vijana
namnukuu hapa”Unakuta kijana hafanyikazi yeyote na hana mbele wala
nyuma na anakwambia kuwa mimi lazima niwe na pesa  nyingi ukimuuliza
utazikuta wapi ?anakwambia wewe tulia kwa haraka wewe unaesoma lazima
utajijibu majibu mengi sana moja wapo ni njia ya ufupi mbele hakuna
maisha”mwisho wa nukuu.
Pia ukilinganisha maisha ya zamani na yasasa kiukweli kunatofauti
kubwa sana  ukweli huu watu wa zamani walikuwa wanapambana sana
kutokana kujua shughuli nyingi sana kama ufugaji  na kulima sana
kutokana na hali ilivyokuwa.
Lakini vizazi hivi vya sasa vimekuwa na tama wakati kutafuta havijui
kabisa tena ni kiwango cha mwisho kabisa mimi ndo nawapa kwa utafiti
wangu , ngoja leo hii nikwambie wewe kijana ambaye unapenda kukaa bila
ya kufanyakazi  na kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya .
Pia moja ya vitu ambavyo vinasababisha hasa ni michezo ya pool table
ambao watu wamejiwekea kama ndo sehemu ya kujipatia kipato kutokana na
michezo yao ya kuwekeana pesa yani (KAMALI) kituambacho katika jimii
na hata serikali yetu inapinga na imekuwa mstari wa mbele kukataza
mambo hayo.
Ndio maana barozi mmoja Peter Vicent wa mtaa wa Faru uliopo kijiji cha
Igawa Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya amewafungukia vijana kuwa urithi
wa motto sio mali bali ni kilekitu ambacho mzazi wako anakufanyia hasa
elimu ambayo kila mzazi anapenda kumuona mototo anasoma shule hayo
alisema jana maeneo ya kituo cha mabasi yaendayo dar es saalam.
Naomba Serikali pamoja na viongozi wake waweke mkakati mkali kwa
vijana ambao wapo tu kufanyakazi za maendeleo ya taasisi mbalimbali
mfano mashuleni hii ni vijijini watu wanapewa labda kila kijana
afyatue tofari 400 na sio zake ni mali ya serikali,vitu kama hivyo
vinaweza kusaidia hata vijana wakawa wanajishughulisha kutokana na
wanavyo banwa.
Previous
Next Post »