RIP MBUZA NO WORDS TO SAY



EMMANUEL JOSEPH MBUZA. Mhitimu wa sangu High school(2007), aliewahi kua Mfanyakazi wa Mbeya FM na generation FM, LLB & Masters ya sheria Tumain university, Kijana mjasiliamali na mpiganaji, Katibu mwenezi wa mbeya mjini, Mkurugenzi wa Sweet fm Radio, Sweet Televission na Action Mart Group of companies (Mzaliwa wa mbeya aliekua anafanya biashara zake jijini Dar es salaam) Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Mipango ya mazishi inafanyika kwa kaka yake tabata-Dar es salaam. R.I.P BRO
Previous
Next Post »