MOTO MKUBWA UMEUTOKEA KATIKA ENEO LA MWANANYAMALA A KARIBU NA HOSPITALI YA MWANANYAMALA. MOTO HUO ULIOUNGUZA VIBANDA KADHA VYA WAFANYABIASHARAKWA MUJIBU WA MFANYABIASHARA MWENYE KIBANDA KIMOJA CHA BIASHARA KILICHOKUWA ANAUZA VITAMBAA VYA GAUNI PAMOJA VIFAA VYA KUSHONEA HASSANI KABAJO ANAELEZEA MOTO HUO MKUBWA UMETOKANA NA HITLAFU YA UMEME ULIOTOKEA KATIKA MOJA YA CHUMBA CHA MPANGAJI KATIKA NYUMBA KUBWA ILIYOKUWA NA WAPANGAJI KUTOKANA HALI HIYO MOTO UKASAMBAA KWA KASI NA KUFIKIA KATIKA KWENYE VIBANDA HIVYO MFANYAIASHARA HUYO AMESEMA MPAKA HIVI SASA SIWEZI KUSEMA HASARA HIYO KWA WENGI WA WAFANYABIASHARA WAMECHUKUA MIKOPO |
EmoticonEmoticon