MCHEZAJI WA MAN UTD MICHAEL CARRIK AVUNJIKA, NJE WIKI 10


Picha aliyoposti Carrick katika Instagram inayoonyesha sehemu aliyoumia
KIUNGO Michael Carrick amevunjika kifundo cha mguu na atakuwa nje kwa wiki 10, kocha mpya wa Manchester United, Louis van Gaal amesema. 
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 aliumia mguu wa kushoto na akafanyiwa upasuajileo asubuhi na kuna wasiwasi atakuwa nje kwa miezi.
Carrick ameposti picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa hospitali na plasta ikiambatana na ujumbe: "Nimekuwa na siku nzuri... imenichaganya sana lakini mbio za kupambana kuwa fiti zimeanza'.
Pre-season blow: Michael Carrick is driven away in the back seat from Carrington on Wednesday
Michael Carrick akiendeshwa kutoka Carrington jana
Previous
Next Post »