MATOKEO YA KIDATO CHA SITA SHULE 10 ZILIZOONGOZA NA SHULE 10 ZA MWISHO





top_logo_61f53.gif



Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha sita wamefaulu.
Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825
Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

SHULE 10 ZILIZOONGOZA1.Igowole
2.Feza Boys
3.Kisimiri
4.Iwawa
5.Kibaha
6.Marian Girls
7.Nangwa
8.Uwata
9.Kibondo
10.Kawawa

SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. MuhezaHigh School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaliua
10. Osward Mang'ombe

Previous
Next Post »