LORI LA MIZIGO LILILOPATA AJALI ENEO LA NYOLOLO IRINGA NA KUSABABISHA FOLENI KALI KWA MUDA NA ABIRIA WAKAMUA KUCHIMBA NJIA YAO.


 Lori hilo likiwa limeziba njia 
 Abiria wakiwa wanajichimbia njia yao ili waanze kupita
 Abiria wakiwa wanaendelea kuchimba njia
 Magari yameanza kupita porini baada ya kushindikana kutolewa kwa Lori hilo lililoziba Barabara 
 Mengine yanakatiza kwenye mashamba ya watu
Previous
Next Post »