Audio: Hiki ndicho kilichosababisha kudundana kwa Watangazaji wa XXL
Kama ulivyosikia katika kile kilichotokea siku ya jumatano (June 2) katika kipindi cha xxl kupigana kwa watangazaji watatu wa kipindi hicho Fetty, B12 na Adam Mchomvu, ndani ya dakika chache sauti ikasambaa kwa mamilioni ya watanzania, kiufupi zoezi hilo halikuwa na uhalisia wowote kwa watangazaji hao,
bali ni katika kuwaelimisha watanzania kupaza sauti pale ambapo kitu kisichokizuri katika jamii inayotuzunguka ni muhimu sana kupaza sauti haraka.
kama mtu mmoja unauwezo wa kupaza sauti na kuiweka nchi yetu katika Amani, basi kwa kila kinachohatarisha amani kinachototokea , mtaani kwetu, iwe ni kwa rafiki ndugu jamaa ama mtanzania mwezako, basi paza sauti kwa uzito kama huo ulioonekana siku ya juma tano, ukimya hausaidii
EmoticonEmoticon