Vitanda vya wagonjwa vikiwa vimefungwa kwenye mabox kutokana na kukosekana sehemu pa kuviweka kutokana na ufinyu wa wodi pamoja na upungufu. |
Wagonjwa wakiwa wodini |
Dkt.Hubby anayesimamia kituo cha afya cha Kambarage akimueleza hali halisi ya msongamano katika kituo hicho ,katibu mkuu wa UWT Taifa Amina Makilagi hivi karibuni alipotembelea kituo hicho. |
Wagonjwa wakiwa wodini
EmoticonEmoticon