AJALI YA NDEGE YAUWA MMOJA MAREKANI NA KUJERUHI


 Screen Shot 2014-07-28 at 11.01.18 AM 
Ndogo ya abiria ambayo imelazimika kutua kwa dharura ufukweni huko Venice Florida Marekani baada ya kupata tatizo ikiwa angani na rubani kuona hakukuwa na uwezekano wa kufika uwanja wa ndege alikofanya mawasiliano.

Screen Shot 2014-07-28 at 11.23.19 AM
Kutua huku kwa dharura kumesababisha kifo cha Mwanaume mmoja alikua akitembea ufukweni huku mtoto wake wa kike akijeruhiwa vibaya kwenye hii ajali.

Rubani na abiria wake hawakuumia kwenye hii ajali ila mtoto wa kike ambae anahisiwa kuwa na umri wa miaka 10 ndio ameumia sana na kukimbizwa hospitali.
Previous
Next Post »