KONA YA JAMII
VIDEOTazama video Wakazi wa sinza uzuri jijini Dar es salaam wamepigwa na butwaa baada ya kuona nyoka aina ya chatu anayedaiwa kutupwa katika daraja,baada ya kusemekana kuwa kuna watu walioiba sanduku wakidhani lina fedha ndani yake na walipofungua wakakutana na joka aina ya chatu ndani yake na kutelekeza sanduku hilo na kukimbia kusiko julikana.
Tazama video Wakazi wa sinza uzuri jijini Dar es salaam wamepigwa na butwaa baada ya kuona nyoka aina ya chatu anayedaiwa kutupwa katika daraja,baada ya kusemekana kuwa kuna watu walioiba sanduku wakidhani lina fedha ndani yake na walipofungua wakakutana na joka aina ya chatu ndani yake na kutelekeza sanduku hilo na kukimbia kusiko julikana.
EmoticonEmoticon