Tazama Video T.I azungumza Kiswahili akijibu kuhusu ugomvi wake na Floyd Mayweather



Video: T.I azungumza Kiswahili akijibu kuhusu ugomvi wake na Floyd Mayweather 
Wiki kadhaa zilizopita ugomvi kati ya T.I na bondia Floyd Mayweather ulikuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
MayWeather alizungumza katika interiview moja na kuwaomba msamaha mke na watoto wa T.I, lakini T.I alielezea zaidi uvumi kuwa aliumizwa jichoni na kisha kupost picha kuthibitisha.
Hayo yalikuwa mazungumzo kabla ya habari….habari ni hii.
Wiki hii rapper huyo alinaswa TMZ akitembea barabarani na kuhojiwa kuhusu ugomvi kati yake na Mayweather ambapo alikataa kabisa kuzungumzia kilichotokea kati yao.
Baada ya kuendelea kusongwa na muuliza maswali, T.I aliweka msisitizo wa maelezo yake kwa kuongea Kiswahili kueleza kuwa hakuna tatizo kwa upande wake.
“Everything is wonderful men ‘Hakuna Matata’ that means everything is wonderful for the rest of your days.”
Neno Hakuna Matata ni sehemu ya maneno ya Kiswahili yaliyosambaa zaidi duniani.

Previous
Next Post »