Wenyeji Brazil walikabiliana na mahasimu wao wa jadi Mexico katika mechi ya kuamua yupi kati yao ataongoza kundi A na kutoka sale ya bila kufungana.
Kikos cha Brazil: Julio Cesar, Dani Alves, Thiago Silva, Luiz, Marcelo, Paulinho, Gustavo, Ramires (Bernard 45), Oscar (Willian 84), Neymar, Fred (Jo 68).
Ngado kwa ngado!Neymar akijaribu kuwatoka mabeki watatu wa Mexico usiku huu uliokuwa mbaya kwa Wabrazil.
Wachezaji wa akiba: Jefferson, Fernandinho, Hulk, Dante, Maxwell, Henrique, Hernanes, Maicon, Victor.
Kadi ya njano: Ramires
Kikosi cha Mexico: Ochoa, Aguilar, Rodriguez, Marquez, Moreno, Layun, Herrera (Fabian 76), Vazquez, Guardado, Giovani (Jiminez 84), Peralta (Hernandez 74).
Wachezaji wa akiba: Corona, Salcido, Reyes, Pulido, Ponce, Brizuela, Aquino, Pena, Talavera.
Kadi za njano: Aguilar, Vasquez.
Mwamuzi: Cuneyt Cakir (Uturuki)

Neymar alijikuta yupo ndani ya nyavu lakini mpira ulikuwa nje
EmoticonEmoticon