MAHABUSU WA GEREZA LA WILAYA YA GEITA JANA WALIPOVUA NGUO KUGOMEA HALI MBAYA YA RUMANDE

Mahabusu Mkoani Geita  wameamua kuvua nguo,wakidai haki zao,uamuzi huo uliibua tafrani mpaka jeshi la Polisi kuingilia kati.

Mahabusu wa gereza la wilaya ya Geita wakiwa wamevua nguo na kung'ang'ania mlingoti wa bendera ya taifa katika mahakama ya mwanzo ya nyankumbu mjini Geita wakishinikiza haki itendeke.
Previous
Next Post »