Tarehe 27/06/2014 Mashindano ya kumtafuta Bibi bomba mwaka 2014 yalifanyika Mikocheni katika ukumbi wa Saadani Parking national hotel, mgeni rasmi alikuwa Bi.Anna Kilango na aliyefanikiwa kuibuka mshindi usiku huo ni Bi Rusi Manfred ambaye alijipatia zawadi ya shilingi milioni kumi za kitanzania na kiwanja chenye thamani ya shilingi Milioni tano.
Mgeni rasmi akiingia ukumbini
Baadhi ya washiriki wa bibi bomba
Khadija Kopa akitumbuiza
Mashabiki wakiburudika na muziki wa taarab
Mdhamini mkuu akitoa neno
Mkurugenzi wa TWB akitoa neno kama mmoja wa wadhamini
Timu mzima ya TWB
Mkurugenz wa TWB akizindua jarida la Bibi Bomba
Mgeni rasmi akitoa neno
Wahiriki wa Bibi bomba waliofanikiwa kuingia fainali
Wadhamini katika meza zao
Harakati za kumtangaza mshindi
Washiriki wa Bibi bomba wakipewa zawadi
Bi Rusi Baada ya kutangazwa mshindi wa Bibi Bomba 2014
Bi Rusi akikabidhiwa zawadi yake
Mashabiki wakimshangilia Mshindi
Bi Rusi akiwa ameshikiria Hati ya kiwanja kama moja ya zawadi yake
EmoticonEmoticon