HOLANZI WAICHAKAZA CHILE 2-0


U

LOUIS van Gaal ameiongoza Uholanzi kupata ushindi wa asilimia 100 katika kundi B  baada ya  Leroy Fer na Memphis Depay wakitokea benchi kufunga mabao mawili dhidi ya Chile usiku huu.
Kiungo wa Norwich City , Fer alifunga bao lake katika dakika ya 77 ikiwa ni dakika mbili tu tangu aingie, naye  Depay alifunga bao la pili dakika ya 92 akimalizia krosi ya Arjen Robben na kuipa Uholanzi ushindi huo wa mabao 2-0.
Kikosi cha Uholanzi: Cillessen, Blind, Vlaar, De Vrij, Kuyt (Kongolo 89), De Jong, Wijnaldum, Janmaat, Sneijder (Fer 75), Lens (Depay 69), Robben.
Wachezaji wa akiba: Vorm, Martins Indi, de Guzman, Verhaegh, Veltman, Clasie, Huntelaar, Krul.
Kadi nyekundu: Blind.
Wafungaji: Fer 77, Depay 90+2.
Kikosi cha Chile: Bravo, Silva (Valdivia 70), Medel, Jara, Isla, Aranguiz, Diaz, Mena, Gutierrez (Beausejour 46), Vargas (Pinilla 81), Alexis.
Wachezaji wa akiba: Toselli, Albornoz, Carmona, Vidal, Rojas, Orellana, Fuenzalida, Paredes, Herrera.
Kadi ya njano: Silva.
Mwamuzi: Bakary Gassama (Gambia)
Previous
Next Post »