HISPANIA WAICHAPA AUSTRALIA 3-0 KOMBE LA DUNIA,


WALIOKUWA mabingwa watetezi wa kombe la dunia, Hispania wamekamilisha ratiba ya kundi lao la B kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Australia.
Mabao ya Hispania yamefungwa na  David Villa, Fernando Torres na Juan Mata.
Ushindi huo angalau umewafariji Hispania ambao sasa wanaondoka kwenya michuano ya mkwa huu ya kombe la dunia nchini Brazil wakiwa na pointi 3 kibindoni.
Katika kikosi cha leo, nahodha na kipa mkongwe wa Hispania, Iker Casillas alikaa benchi na kushuhida Reina akicheza dakika zote tisini.
 
Kikosi cha Australia: Ryan, McGowan, Davidson, Spiranovic, Wilkinson, Oar (Troisi 61), Bozanic (Bresciano 72), Jedinak, McKay, Leckie, Taggart (Halloran 46).
Wachezaji wa akiba: Milligan, Wright, Langerak, Holland, Galekovic, Vidosic, Luongo.
Kikosi cha Hispania: Reina; Juanfran, Ramos, Albiol, Alba; Cazorla (Fabregas 68), Alonso (Silva 83), Koke, Iniesta; Torres, Villa (Mata 57)
Wachezaji wa akiba: Casillas, De Gea, Azpilicueta, Javi Martinez, Busquets, Xavi, Pedro, Diego Costa.
Wafungaji wa magoli: Villa 36, Torres 69, Mata 82
Previous
Next Post »