Eneo jipya la kutafuta ndege ya Malaysia iliyopotea limetangazwa na serikali ya Australia baada ya taarifa mpya za Satellite kutolewa.
Kwa mujibu wa waziri mkuu Warren Truss, zoezi la utafutaji wa ndege hiyo sasa litahamia Kusini kuegemea eneo la kilomita 1,800 kutoka Pwani ya Magharibi ya Australia.
Ndege ya MH370 ilipotea wakati wa safari yake kutokea Kuala Lumpur kwenda Beijing Machi 8 mwaka huu ikiwa na abiria 239 ndani yake.
Artikel Menarik Lainnya
SABODO AMSHAURI RAIS MAGUFULI AZIDI KUPUNGUZA BARAZA LA MAWAZIRI Mfanyabiashara maarufu nchini, Jaffar Sabodo akizungumza nyumbani kwake Upanga Dar es Sa
Wakimbizi wa Burundi wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko. Wakati shirika la kimataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR likishin
Three students charged with attempt to burn school dormitory in Nyeri Three students of Karima Boys High School in Nyeri were Monday charged before an Othaya court w
Mazishi ya mpiga picha Mpoki Bukuku yalivyofanyika kijijini kwao Dodoma Mamia ya wadau pamoja na wale wa Tasnia ya Habari wameendelea kujitokeza kwa wingi katika ma
RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MKUTANO TINDE, ISAKA NA KAHAMA MKOANI SHINYANGA Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia wa wakazi wa K
Rais Magufuli apokea taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa Kiwanda cha kusindika gesi asilia (LNG) Ambacho Kitagharimu trilion 65 za kitanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Agosti, 2016 a
EmoticonEmoticon