DEREVA WA DALADALA ASHUSHIWA KIPIGO NA ABIRIA BAADA YA KUTAKA KUPINDUA DALADALA HIYO


Dereva wa daladala ya Gongo la Mboto – Posta amepata kichapo na abiria baada kutaka kupindua daladala hiyo karibu na stendi ya mnazi mmoja, kichapo hicho alikipata baada yeye kutaka kukimbia.

Kichapo kinaendela kwa dereva huyo aliyesemekana kuwa ni deiwaka tu.
Kichapo kinaendela kwa dereva huyo aliyesemekana kuwa ni deiwaka tu.
Daladala aliyoitaka kuipindua.
Daladala aliyoitaka kuipindua.
Dereva wa daladala la Gongo la Mboto Posta katikati aliyevaa shati la bluu akipewa kichapo na abiria.
deiwaka wa daladala la Gongo la Mboto Posta katikati aliyevaa shati la bluu akipewa kichapo na abiria.
Previous
Next Post »