BODI MPYA YA KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) YAZINDULIWA JIJINI DAR


 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza jambo na Mwenyekiti mpya wa bodi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka (wa pili kushoto) wakati alipozindua bodi mpya ya kituo hicho Jumatatu wiki hii jijini Dar es Salaam. Wengine ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu (kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Bi. Juliet kairuki (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Bw. Raymond Mushi (kushoto). 




Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya wakurugenzi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Jumatatu wiki hii jijini Dar es Salaam.  kushoto ni Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo,  Prof. Lucian Msambichaka; Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu (nguo nyekundu), Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Bw. Raymond Mushi (kulia katikati) na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Florens Turuka (kulia). 


 Mwenyekiti mpya wa bodi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka (kulia) akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Bi. Juliet Kairuki (kushoto) pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu (katikati) wakati wa uzinduzi rasmi wa bodi mpya ya kituo hicho Jumatatu wiki hii jijini Dar es Salaam uliofanywa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Previous
Next Post »