Wakati wataalamu wanaendelea kuitafuta Boeng 777 ile ndege ya nchini Malaysia iliyopotea tarehe 8 March ikiwa na abiria 239.Indian Film Director Rupesh Paul amewaambia hollywood reporter kuwa anatengeneza movie inayohusu ndege ya Malaysia MH370, Movie itaitwa Vanishing Act na kwa mujibu wa Pupesh anasema movie hiyo haitowaumiza familia za abiria waliopotea na ndege hiyo, na wala hailengi kuharibu uchunguzi unaoendelea.
Na director anaamini itasaidia katika uchunguzi huo, na movie tayari inahitajika sana bara la Asia.
Na director anaamini itasaidia katika uchunguzi huo, na movie tayari inahitajika sana bara la Asia.
EmoticonEmoticon