Mkaazi wa kunduchi Beachi katika manispaa ya kinondoni jijini Dar es salaa Riziki Daudi amejifungua watoto alipojifungua kwa njia ya upasuaji wiki iliyopita katika hospitali ya Taifa muhimbili kutopkana kuwa maisha magumu anaomba wasamaria wema kumsaidia kwa hali na mali kutoka hali yake hususani nguo za watoto apamoja na misaada mingine watoto hao wanatunzwa katika chumba maalum katika jengo la wazazi alikuwa anaomba kwa wale watakao gusa na tatizo hilo kuwasiliana na namba za simu 0783717648 ya Hadija Abeid na 0717 365040 ya Thuwaiba mohamed au 088711458 Daudi Haji wadau naomba tumsaidie kwa kusambaza vyombo vyenu
|
EmoticonEmoticon