HII INASIKITISHA JAMANI TAZAMA PICHA ZA KICHANGA KILICHOTUPWA MTO MWANANYAMALA WANAWAKE ACHENI TABIA HII Anonymous 04:54 Anonymous Wakazi wa Mwananyamala wakiwa eneo la mto Ng’ombe kushuhudia tukio hilo. MWILI wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na siku mbili umeokotwa ukiwa umetupwa eneo la mto Ng’ombe jirani na Rasco, Mwananyamala jijini Dar. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest Artikel Menarik Lainnya
EmoticonEmoticon