Adam Kuambiana
Inasemekana kwamba msanii huyo amefariki leo mda mchache baada ya kuanguka ghafla akiwa location akiwajibika katika shughuli zake za
sanaa na kuwahishwa haraka Hospital na alifariki akiwa njiani kukimbizwa kwenye Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge jijini Dar es Salaam baada ya kuugua.Kuambiana aliugua ghafla kwenye kambi ya kurekodi filamu na wasanii wenzake iliyopo katika Nyumba ya Kulala Wageni ya Silvarado iliyopo Sinza ya Kwaremmy, Dar.
EmoticonEmoticon