Mfalme wa Mombasa Taarabu Mzee Juma Bhalo azikwa leo


Mkongwe wa Taarabu kutoka Mombasa Mzee Juma Bhalo amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda na mazishi yake yamefanyika hukohuko kwao Mombasa. Mzee Juma Bhalo alishawahi kutamba na kibao chake ‘pete’ na nyingine nyingi na ni Msanii ambaye alifanya vizuri sana hasa huko Tanga na Mombasa kwa Miaka ya nyuma. Mungu ailaze roho ya Marehemu peponi.
juma1
Previous
Next Post »