ANGALIA MWEZI ULOZALIWA UJUE TABIA ZAKO


JAN= Jasiri na mkorofi.
FEB= Mwenye bahati na mkweli.
MAR= Msumbufu lakini mzuri.
APR= Anajali na ni mpiganaji.
MAY= Ana upendo na alie halisi.
JUN= Mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo.
JUL= Amebarikiwa vipaji na ana busara.
AUG= Makini na mchapakazi,
SEP= Anaelewa haraka na ni mzuri wa sura.
OCT= Anakwenda na wakati na ni rafiki mwema.
NOV= Anakipaji na ni mbunifu.
DEC= Mtu wa starehe tuu!!
Kuna ukweli wowote hapa

Previous
Next Post »