Siku nne baada ya runinga ya CITIZEN kuangazia kisa cha msichana mwanafunzi kutoka shule ya upili ya Loreto kaunti ya Kiambu anayesemekana kunyanyaswa kimapenzi na kutakiwa kujiunga na kundi la wasagaji na wanafunzi wenzake mapya yameibuka.
Wazazi zaidi wamejitokeza kushutmu kisa hicho kisa cha kuhuzunisha zaidi ni kile cha Nancy Mutua ambaye aliaga dunia mwaka wa 2006 baada ya kuugua msongo wa mawazo kufuatia kudhulumiwa na kutishwa wakati alipokataa kujiunga na kundi la usagaji shuleni humo.
Miaka minane baadaye na tabia hiyo bado inaendelea shuleni humo kunani.
EmoticonEmoticon