JK- Wajumbe wa bunge la katiba wanauwezo wakufuta kila wanachoona hakifahi
JK-kwa serikali tatu mambo mengi hayawezekani kutekelezeka..lakini kwa serikali mbili utekelezaji wake ni rahisi
JK-Tunaweza kutatua kero za muungango bila kuongeza serikali ya nyingine
JK-Tunaweza kutatua kero za muungango bila kuongeza serikali ya nyingine
Mheshimiwa ametumia takribani masaa mawili na nusu endelea kufuatilia ukurasa huu kujua kazungumza nini kwenye hotuba yake.
EmoticonEmoticon