VIDEO SAMWEL ET'OO AKISAKATA RHUMBA NA KUGAWA PESA























Video hii inamuonesha Mcheza mpira wa klabu ya Chelsea ya Uingereza akisakata muziki wa sebene na kuanza kumwaga mapesa kama pedeshee wa kibongo wanavyofanya. Tazama video hiyo hapo chini uone jinsi alivyokuwa akisakata muziki na kuamsha ukumbi mzima kwa shangwe na vigeregere
Previous
Next Post »