Picha ya watu wakimtoa dereva bodadoda aliyeingia chini ya gari





Baadhi ya Wakazi wilaya ya momba Mkoani mbeya wakimtoa dereva bodaboda
ambae hakufahamika kwa mara moja kwa jina baada ya kuingia uvunguni
mwa gari juzi Maeneo ya sogea Tunduma (picha na Saimeni Mgalula)

Previous
Next Post »