MMMMMMM URAFIKI HUU SASA NI HATARI TAZAMA VIDEO HII

NewsImages/7048770.jpg

Hakuna asiyejua kuwa hakuna urafiki kati ya binadamu na wanyama hatari wa porini kama simba na chui. Hali ni tofauti kwa bilionea huyu wa nchi za kiarabu ambaye katika kuonyesha utajiri wake huonyesha jinsi anavyoishi na kucheza na simba na chui.

Humaid AlBuQaish amejipatia umaarufu mkubwa kwenye mtandao wa Instagram kwa picha zake anazoziweka kila mara kuhusu yeye na wanyama wake hatari wakiwa katika mapozi mbalimbali ambayo kwa akili za kawaida hayafikiriki.





Humaid anacheza na simba, anaoga pamoja na simba, anaweza kuingiza mkono wake au kichwa chake ndani ya mdomo wa simba na simba akamuangalia tu bila hata ya kumchubua hata ngozi.



Picha na video anazoziweka Hubaid zimemfanya awe gumzo kubwa duniani hivi sasa ingawa wengi wanatabiri urafiki huu utamalizika kwa kifo au machozi.



VIDEO - Humaid akicheza na simba na chui wake




 
Previous
Next Post »