LAKI TANO KUTOLEWA KWA ATAKAYETENGENEZA "LOGO YA TAASISI YA RAY C FOUNDATION



Mwanadada Rehema Chalamila aka Ray C, amezindua shindano la kutengeneza logo ya taasisi yake ya ‘Ray C Foundation. Mshindi wa shindano hilo atazawadiwa shilingi laki 5.

 Kwa mwenye uwezo huo anaweza kutengeneza na kutuma kwenda raycfoundation2014@gmail.com. Mwisho wa shindano hilo March 30.
Previous
Next Post »