KAMA HUKUWAHI ONA HARUSI YA ALLAN LUCK WA SKONGAAAAA TAZAMA HAPA


 Mtangazaji wa East Africa TV Bw. Allan Lucky Komba ambaye pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA akila kiapo cha ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam.
 Bibi Harusi Haika Samweli akila kiapo cha ndoa.
  Bwana Harusi akimvisha pete mkewe.
 You may know kiss the bride.
 Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada ya ndoa hiyo.
 Mr & Mrs. Allan Lucky Komba wakipokea hati ya ndoa.
Mr & Mrs. Allan Lucky wakiwa meza kuu.
 Maharusi wakikata Cake.
Previous
Next Post »