ANGALIA PICHA JINSI HOTEL YA PICOLO KAWE ILIVYOUNGUA









Pichani juu ni taswira za sehemu ya Hoteli ya Picolo Beach iliyopo Kawe jijini Dar iliyoteketea kwa moto leo mchana. Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa ni shoti ya umeme iliyoanzia kwenye nguzo iliyopo jirani na hoteli hiyo.
(PICHA NAGPL)
Previous
Next Post »