Rooney awa mchezaji anayelipwa fedha nyingi zaidi EPL baada ya kusaini mkataba mpya Manchester United

Neema imemdondokea zaidi mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney baada ya kudondosha wino na kusaini mkataba mnono wa kuendelea kuichezea timu hiyo hadi June 2019.
Rooney ambaye ameichezea timu hiyo tangu  mwaka 2004, atakuwa anapata kitita cha pound 300,000 kwa wiki, sawa na dola 500,000 ni hivyo kuwa mchezaji wa ligi kuu ya Uingereza (EPL), anayelipwa fedha nyingi zaidi.
Kwa mujibu wa ripoti kutoka Uingereza, mkataba huo utakapoisha inaweza kuwa ndio wakati ambapo 
Previous
Next Post »