WATU 13 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI SINGIDA

Photo: #HABARI Watu 13 wamefariki dunia na wengine 3 wamejeruhiwa baada ya gari aina ya Noah waliyokuwa wanasafiria kutoka Itigi kwenda Singida kugongana uso kwa uso na lori eneo la Isuna.

Watu 13 wamefariki dunia na wengine 3 wamejeruhiwa baada ya gari aina ya Noah waliyokuwa wanasafiria kutoka Itigi kwenda Singida kugongana uso kwa uso na lori eneo la Isuna.
Previous
Next Post »