Designer kutoka Ghana, Atsu alitambulisha 2heads kwenye Swahili Fashion Week 2013 day 2, tarehe 7 December, chini Mdau wa Fashion, Winfrida akipozi mbele ya kamera yetu
Top designer kutoka Zambia, Kutuwa (kushoto) akiwa na mdau wa mitindo
Katika red carpet, Martin Kadinda na Asia Idarious
Asia Idariuos akiwa na Top Designer wa 2012 SFW, Gabriel Molel
Chini: Mdau wa Immamatukio Blog akifanya mambo, Zourha Malisa
Designer, Paka Wear alikuwepo pia
Lotta Mollel(aliyeshika tuzo), ndie mshindi wa tuzo ya mwaka 2013 ya BEST Male Model SFW
Winfrida Dominic(aliyeshika tuzo mwenye nguo nyeusi), ndie mshindi wa tuzo ya mwaka 2013 ya BEST Female Model SFW Osse Greca Sinare(aliyeshika tuzo), ndie mshindi wa tuzo ya mwaka 2013 ya Fashion Photographer of the year SFW Kipindi cha Nivarna cha East Africa TV, ndio washindi wa tuzo ya mwaka 2013 ya Fashion TV Program of the year SFW
EmoticonEmoticon