Mshindi wa TPF5 Ruth Matete aomba radhi kwa kwa nguo aliyovaa katika fainali ya TPF6 Jumapili iliyopita


Mshindi wa TPF 5  Ruth Matete ameomba radhi  kutokana na vazi alilovaa Jumapili iliyopita wakati wa fainali  ya Tusker Project Fame-6,  Jijini Nairobi.
Matete ambaye pia ni mwimbaji kiongozi wa kwaya, aligeuka kuwa gumzo kutokana na zavi alilovaa ambalo wengi waliona kuwa halifai!, na kusababisha kushambuliwa kupitia mitandao ya kijamii.
Kupitia akaunti yake ya facebook asubuhi ya leo Matete  ameomba radhi kwa kuvaa vazi lisilostahili wakati akitumbuiza katika show hiyo.
"Having let so many down, I am lost for words to express my sincere apology for my inappropriate dress during the TPF final show. Without making excuses, I must say that I am indeed sorry. The pressure that comes with performance and fame can drive one to make mistakes. I am indeed a work in progress. I pray that you can find it in your hearts to forgive me and not give up on me. I am sincerely sorry for my wrong. I have sought the counsel of my mentors and spiritual cover. I know under their guidance, I will continue to grow and become more like Christ.
Sincerely,Ruth Matete"
Hizi ni baadhi ya comments juu ya nguo aliyovaa Ruth,
-The only thing I’ll remember about #tpf6 grand finale is Ruth Matete ‘s handkerchief ooops I’m sorry I meant dress #NiHayoTuKwaSasa
-Hahaha ni material ya nguo illisha :) RT @AntiBigwig : ..am Watching PORNOGRAPHY for the first time on #TPF6 Ruth Matete is the Pornstar!
 -Nobody does RT ” @KenyanSam : I didn’t like that Ruth Matete Dress. #tpf6 ”
-Whoa… that Ruth Matete dress seriously and she’s a Church Choir member. OMG! #TPF6 that’s so darn serious and BAD EXAMPLE!
Licha ya wengi kuonekana kutokubaliana na uchaguzi wa nguo aliyoivaa Ruth, lakini Principal wa shindano hilo la TPF6 Achieng Abura, amemtetea Ruth kwa kuandika
“Ruth Matete, you looked lovely in the white dress and moved around in it gracefully as you sang beautifully...hold your head high my dear. You cannot please everybody, you will only hurt yourself if you try. Be blessed.”
Previous
Next Post »