MAADHIMISHO YA SIKU YA KITAIFA YA YA HAKI ZA BINADAMU KUFANYIKA TAREHE 10 DESEMBA

PIX1_1_3ce4c.jpg

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Jaji Amir Manento akifafanua jambo kwa waandishi wahabari na baadhi ya wadau wa sekta hiyo (hawapo picha) ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu Dunia inayotarajiwa kufanyika tarehe 10 Desemba
PIX2_1_50531.jpg
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Jaji Amir Manento (mwenye koti jeusi) akielezea jambo huku baadhi ya waandishi wa habari na wadau wa sekta ya haki za binadamu wakimsikiliza kwa makini  jijini Dar es Salaam.
PIX3_1_50a38.jpg
Pichani wadau wa Haki za binadamu wakifuatilia kwa makini taarifa ya Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora( hayupo pichani)  jijini Dar es Salaam.
PIX4_1_12ad2.jpg
Mwandishi wa habari wa ITV Ufoo Saro akiuliza swali wakati wa mkutano wa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Previous
Next Post »