KILIMANJARO STARS YAFUZU KUINGIA NUSU FAINALI NA KUWATOA MABINGWA WATETEZI UGANDA MICHUANO YA CECAFA





PICHA NA MAKTABA

Timu ya Taifa ya Tanzania imefanikiwa kufuzu kuingia nusu fainali kwenye mashindano ya CECAFA baada ya kuitoa Uganda The cranes kwa mikwaju ya penati.Dk tisini zilimalizika kwa timu hizo kutoka sare ya mabao 2 kwa 2 magoli ta Taifa stars yakifungwa na mshambuliaji machachali na mjanjamjana mrisho halfan ngasaaa,na baadea uganda kusawazisha.Hali ilibadilika gafla baada ya Sure boy kupewa kadi nyekundu baada ya kutenda madhambi,lakini vijana wa JK hawakutetereka walisimama kidete kupeperusha bendera ya Tanzania na hatimaye kufuzu.Shujaa wa mchezo wa leo ni Ivo Mapunda baada ya kuokoa penati mbiliii.

Previous
Next Post »