Justin Bieber amethibitisha kupitia Twitter kuwa ni kweli anastaafu muziki. Nyota huyo wiki iliyopita alisema anaacha muziki japo madai hayo yalikanushwa na meneja wake. Hata hivyo siku ya Christmas Jumatano hii, Bieber aliwaambia mashabiki wake kupitia Twitter kuwa kweli anastaafu.
“My beloved beliebers I’m officially retiring,” aliandika.
Pamoja na kusema anaacha muziki, muimbaji huyo alisema hatowaacha mashabiki wake na kuwatakia Christmas njema.
"The media talks a lot about me.They make a up a lot of lies and want me to fail but I'm never leaving you, being a belieber is a lifestyle... Be kind loving to each other, forgive each other as god forgave us through Christ Merry Christmas IM HERE FOREVER,” aliongeza.
Wakati huo huo filamu yake, Believe imetoka Jumatano hii kwenye Christmas.
|
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
Write commentspamoja Xana mtu wa watu,big up mtu wang
ReplyEmoticonEmoticon