HIZI NDIZO MECHI ZITAKAZOKUWA ZIKIMENYANA LEO LIVE KWENYE LIGI YA UINGEREZA


Arsenal na Chelsea zinakutana leo tena Kwenye ligi kuu England huku Arsenal ikiwania ushindi kurudi tena kileleni mwa Ligi Kuu England ambako Jumamosi ilienguliwa na Liverpool lakini Arsenal, chini ya Meneja Arsene Wenger, inakutana na Chelsea, ikiwa chini ya Jose Mourinho, hii ikiwa Himaya ya Pili yake, haijafungwa hata Mechi moja na Arsenal ya Wenger.
Uso kwa Uso, Arsenal ya Wenger imekutana na Chelsea ya Mourinho mara 9 katika Miaka 9 na Kufungwa mara 5 na Sare 4.Swali ni zito na Kitendawili....Arsenal ikitaka kupanda tena kileleni ...je itaweza???
Nerves? Arsene Wenger knows defeat against Chelsea on Monday will see his Arsenal side slip to fourth
Arsene Wenger anajua umuhimu wa ushindi pamoja na wachezaji wake yawabidi kushinda ili kurudi Kileleni
Prove them wrong: Aaron Ramsey and Theo Walcott will be key if Arsenal are to beat Jose Mourinho's Blues
Aaron Ramsey na Theo Walcott kuonesha uwezo zaidi leo Arsenal wakikwaruzana na Jose Mourinho
Pointing the way: Mikel Arteta trains at London Colney on Sunday as the Gunners prepared for Chelsea's visit
Mikel Arteta kwenye mazoezi uwanja wa London Colney jana jumapili akiwa na wenzake tayari kuwakaribisha Chelsea Emirates.
Watch out: Burnout for players such as Ramsey remain at the forefront of the manager's mind
Ramsey kuonesha kiwango leo!!
Touch tight: Olivier Giroud (right) is a focal point for Arsenal and is keen to add to his seven league goals
Olivier Giroudkwenye mazoezi hivi karibuni wakijiandaa kuwakaribisha Chelsea!
VIKOSI VINAWEZA KUWA HIVI:
Arsenal (Possible, 4-4-1-1): Szeczesny; Sagna, Mertesacker, Vermaelen, Gibbs; Walcott, Arteta, Ramsey, Cazorla; Ozil; Giroud.
Out
 : Wilshere (suspended), Miyaichi (hamstring), Sanogo (back), Oxlade-Chamberlain, Diaby (both knee).
Test
 : Koscielny (knee).
Chelsea (Possible, 4-4-1-1): Cech; Ivanovic, Terry, Luiz, Azpilicueta; Ramires, Mikel, Lampard, Hazard; Oscar, Torres.
Out
 : Essien (suspended), Bertrand (knock), Van Ginkel (knee). 
Mwamuzi wa leo Mike Dean
USO KWA USO KATI YA ARSENAL NA CHELSEA
29 Oct, 2013: Arsenal 0-2 Chelsea (League Cup fourth round)
6 May, 2007: Arsenal 1-1 Chelsea (Premier League)
25 Feb, 2007: Chelsea 2-1 Arsenal (League Cup final)
10 Dec, 2006: Chelsea 1-1 Arsenal (Premier League)
18 Dec, 2005: Arsenal 0-2 Chelsea (Premier League)
21 Aug, 2005: Chelsea 1-0 Arsenal (Premier League)
7 Aug, 2005: Chelsea 2-1 Arsenal (Community Shield)
20 Apr, 2005: Chelsea 0-0 Arsenal (Premier League)
12 Dec, 2004: Arsenal 2-2 Chelsea (Premier League) 
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA  
Premier League
Pos.Logo &TeamPWDLGDPts
1LiverpoolLiverpool1711332336
2Manchester CityManchester City1711243135
3ArsenalArsenal1611231635
4EvertonEverton179711334
5ChelseaChelsea1610331433
6Newcastle UnitedNewcastle United17935230
7Tottenham HotspurTottenham Hotspur17935-530
8Manchester UnitedManchester United17845828
9SouthamptonSouthampton17665424
10Stoke CityStoke City
Previous
Next Post »