![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTqCQyT4ybfveQNaiL5Z9mDzg44zyEtoUfG9JN1Vt5w_yJ6TkJEmBCvQ3JJZbCXWCGa6bWwVl0ypFbWoSBRWcvjNnXB6AZQXFrMwJWvELWbMtntJ83LwhRNoMXaSCBOfFjH3rIhUSLFZk/s640/health-benefits-of-pawpaw-tree-fruit.jpg)
Hizi ni baadhi ya faida ambazo unaweza kuzipata kwa kula papai au kunywa juisi yake
- Papai lina fibrin ambayo hupunguza kuganda kwa damu
- Fibrin inaweza kuzuia kiharusi
- Lycopene iliyomo katika papai inaweza kupunguza hatari ya kansa ya kibofu
- Mbegu za papai hutibu homa ya matumbo (typhoid)
- Juisi ya papai huondoa sumu mwilini
- Juisi ya papai hutibu vyema shinikizo la damu
- Juisi ya papai husaidia kuzuia magonjwa ya moyo
Juisi ya papai ina folate, vitamini C na E ambavyo huzuia saratani ya utumbo.
- Juisi ya papai hujenga kinga ya mwili
EmoticonEmoticon