AJALI ILIYOTOKEA KARIBU NA MAMA JOHN JIJINI MBEYA


Hili ni gari lenye namba ya IT  lililokuwa  likitokea bandari jijini Dar kwenda nchi  za kusini mwa Tanzania ambalo lilihama njia na kuligonga daladala li.lolokuwa likitoka mjini Mbeya  Kwenda Uyole hata  hivyo  hakuna aliyepoteza maisha  katika ajali hiyo iliyotokea  jijini MBeya karibu na  kituo cha mama John
Previous
Next Post »